诗篇 117

万国啊,你们都要赞美耶和华

Msifuni Bwana, enyi mataifa yote; mtukuzeni yeye, enyi watu wote. 2Kwa kuwa upendo wake kwetu ni mkuu, uaminifu wa Bwana unadumu milele. Msifuni Bwana.

已复制!
Aa