시편 134

밤에 여호와를 송축하라

Wimbo wa kwenda juu. Msifuni Bwana, ninyi nyote watumishi wa Bwana, ninyi mnaotumika usiku ndani ya nyumba ya Bwana. 2Inueni mikono yenu katika pale patakatifu na kumsifu Bwana. 3Naye Bwana, Muumba wa mbingu na dunia, awabariki kutoka Sayuni.

복사됨!
Aa