Midvash

Matthew 6:4-6

4Toa msaada wako kwa siri, na Baba yako aonaye yaliyofichika, atakutuza.d

5“Mnaposali, msifanye kama wanafiki. Wao hupenda kusimama na kusali katika masunagogi na katika pembe za njia ili watu wawaone. Kweli nawaambieni, hao wamekwisha pata tuzo lao.e

6Lakini wewe unaposali, ingia chumbani mwako, funga mlango, kisha umwombe Baba yako asiyeonekana. Naye Baba yako aonaye yaliyofichika, atakutuza.f

Copiado para área de transferência

Text Size

Aa

Reading Theme

Reading mode