Midvash

Matthew 10:29-31

29Shomoro wawili huuzwa kwa senti tano. Lakini hata mmoja wao haanguki chini bila kibali cha Baba yenu.q

30Lakini kwa upande wenu, hata nywele za vichwa vyenu zimehesabiwa zote.r

31Kwa hiyo msiogope; ninyi mu wa thamani kuliko shomoro wengi.

Copiado para área de transferência

Text Size

Aa

Reading Theme

Reading mode