Midvash

Acts 3:2-8

2Na pale karibu na mlango wa Hekalu uitwao “Mlango Mzuri”, palikuwa na mtu mmoja, kiwete tangu kuzaliwa. Watu walimbeba huyo mtu kila siku na kumweka hapo ili aombe chochote kwa wale waliokuwa wakiingia Hekaluni.

3Alipowaona Petro na Yohane wakiingia Hekaluni, aliwaomba wampe chochote.

4Petro na Yohane walimkodolea macho, naye Petro akamwambia, “Tutazame!”

5Naye akawageukia, akitazamia kupata kitu kutoka kwao.

6Kisha Petro akamwambia, “Sina fedha wala dhahabu lakini kile nilicho nacho nitakupa. Kwa jina la Yesu Kristo wa Nazareti, tembea!”b

7Halafu, akamshika mkono wa kulia, akamwinua. Papo hapo miguu na magoti yake yakapata nguvu.

8Akaruka, akasimama na kuanza kutembea. Halafu akaingia pamoja nao Hekaluni, akitembea na kurukaruka huku akimtukuza Mungu.

Copiado para área de transferência

Text Size

Aa

Reading Theme

Reading mode