Midvash

James 4:7-10

7Basi, jiwekeni chini ya Mungu; mpingeni Ibilisi naye atawakimbieni.g

8Mkaribieni Mungu, naye atakuja karibu nanyi. Osheni mikono yenu enyi wakosefu! Safisheni mioyo yenu enyi wanafiki!h

9Oneni huzuni, lieni na kuomboleza; kicheko chenu na kiwe kilio; na furaha yenu iwe huzuni kubwa.i

10Nyenyekeeni mbele ya Bwana, naye atawainueni.j

Copiado para área de transferência

Text Size

Aa

Reading Theme

Reading mode