Midvash

Mark 11:22-23

22Yesu akawaambia, “Mwaminini Mungu.d

23Nawaambieni kweli, mtu akiuambia mlima huu: Ng'oka ukajitose baharini bila kuona shaka moyoni mwake, ila akaamini kwamba mambo yote anayosema yanafanyika, atafanyiwa jambo hilo.e

Copiado para área de transferência

Text Size

Aa

Reading Theme

Reading mode