Midvash

Mark 7:21-23

21Kwa maana kutoka ndani, katika moyo wa mtu, hutoka mawazo mabaya, uasherati, wizi, uuaji,e

22uzinzi, uchoyo, uovu, udanganyifu, ufisadi, wivu, kashfa, kiburi na upumbavu.

23Maovu hayo yote yatoka ndani ya mtu, nayo humtia mtu najisi.”

Copiado para área de transferência

Text Size

Aa

Reading Theme

Reading mode