Matthew 7:7-11
7“Ombeni, nanyi mtapewa; tafuteni, nanyi mtapata; bisheni, nanyi mtafunguliwa.f
8Maana, aombaye hupewa, atafutaye hupata, na abishaye hufunguliwa.g
9Je, kuna yeyote miongoni mwenu ambaye mtoto wake akimwomba mkate, atampa jiwe?h
10Au je, akimwomba samaki, atampa nyoka?
11Kama basi ninyi, ingawa ni waovu, mwajua kuwapa watoto wenu vitu vizuri, hakika Baba yenu wa mbinguni atafanya zaidi: atawapa mema wale wanaomwomba.i
Copiado para área de transferência
Text Size
Aa