Midvash

Matthew 23:35-36

35Hivyo lawama yote itawapateni kwa ajili ya damu yote ya watu wema iliyomwagwa juu ya ardhi. Naam, tangu kuuawa kwa Abeli ambaye hakuwa na hatia, mpaka kuuawa kwa Zakariya, mwana wa Barakia, ambaye mlimuua Hekaluni kati ya patakatifu na madhabahu.k

36Nawaambieni kweli, kizazi hiki kitapata adhabu kwa sababu ya mambo haya.

Copiado para área de transferência

Text Size

Aa

Reading Theme

Reading mode