Midvash

Titus 2:11-13

11Maana neema ya Mungu imedhihirishwa kwa ajili ya wokovu wa watu wote.h

12Neema hiyo yatufunza kuachana na uovu wote na tamaa za kidunia; tuwe na kiasi, tuishi maisha adili na ya kumcha Mungu katika ulimwengu huu wa sasa,i

13tukiwa tunangojea siku ile ya heri tunayoitumainia, wakati utakapotokea utukufu wa Mungu Mkuu na Mwokozi wetu Yesu Kristo.j

Copiado para área de transferência

Text Size

Aa

Reading Theme

Reading mode