Midvash

Matthew 23:31-33

31Hivyo mnathibitisha ninyi wenyewe kwamba ninyi ni watoto wa watu waliowaua manabii.

32Haya, kamilisheni ile kazi wazee wenu waliyoianza!

33Enyi kizazi cha nyoka wenye sumu! Mnawezaje kuiepa hukumu ya moto wa Jehanamu?j

Copiado para área de transferência

Text Size

Aa

Reading Theme

Reading mode