Midvash

Matthew 18:2-5

2Yesu akamwita mtoto mmoja, akamsimamisha kati yao,

3kisha akasema, “Nawaambieni kweli, msipogeuka na kuwa kama watoto, hamtaingia kamwe katika Ufalme wa mbinguni.b

4Yeyote anayejinyenyekesha kama mtoto huyu, huyo ndiye aliye mkubwa katika Ufalme wa mbinguni.c

5Yeyote anayemkaribisha mtoto mmoja kama huyu kwa jina langu, ananikaribisha mimi.

Copiado para área de transferência

Text Size

Aa

Reading Theme

Reading mode