Mark 9:31-32
31kwa sababu alikuwa anawafundisha wanafunzi wake. Aliwaambia, “Mwana wa Mtu atakabidhiwa kwa watu ambao watamuua; lakini siku ya tatu baada ya kuuawa atafufuka.”h
32Wanafunzi hawakufahamu jambo hilo. Wakaogopa kumwuliza.
Copiado para área de transferência
Text Size
Aa