Midvash

Mark 7:11-13

11Lakini ninyi mwafundisha, Kama mtu anacho kitu ambacho angeweza kuwasaidia nacho baba au mama yake, lakini akasema kwamba kitu hicho ni Korbani (yaani ni zawadi kwa Mungu),

12basi, halazimiki tena kuwasaidia wazazi wake.

13Hivyo ndivyo mnavyodharau neno la Mungu kwa ajili ya mafundisho mnayopokezana. Tena mnafanya mambo mengi ya namna hiyo.”c

Copiado para área de transferência

Text Size

Aa

Reading Theme

Reading mode