Midvash

Luke 11:8-10

8Hakika, ingawa hataamka ampe kwa sababu yeye ni rafiki yake, lakini, kwa sababu ya huyo mtu kuendelea kumwomba, ataamka ampe chochote anachohitaji.

9Kwa hiyo, ombeni, nanyi mtapewa, tafuteni, nanyi mtapata, bisheni nanyi mtafunguliwa.f

10Maana yeyote aombaye hupewa, atafutaye hupata na abishaye hufunguliwa.g

Copiado para área de transferência

Text Size

Aa

Reading Theme

Reading mode