Luke 11:21-22
21“Mtu mwenye nguvu anapolinda jumba lake kwa silaha, mali yake yote iko salama.k
22Lakini akija mwenye nguvu zaidi akamshambulia na kumshinda, huyo huziteka silaha zake alizotegemea na kugawanya nyara.
Copiado para área de transferência
Text Size
Aa