Acts 19:29
29Mji wote ukajaa ghasia. Wakawavamia Gayo na Aristarko, wenyeji wa Makedonia, ambao walikuwa wasafiri wenzake Paulo, wakakimbia nao mpaka kwenye ukumbi wa michezo.
Copiado para área de transferência
Text Size
Aa
29Mji wote ukajaa ghasia. Wakawavamia Gayo na Aristarko, wenyeji wa Makedonia, ambao walikuwa wasafiri wenzake Paulo, wakakimbia nao mpaka kwenye ukumbi wa michezo.
Biblia Takatifu (SUV) Mali ya umma (Public Domain). Agano Jipya kwa Kiswahili, toleo la kale la 1850.
Midvash cross references + OpenBible.info data (CC BY 4.0).